NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAUZWA MBEZI KWA MSUGULI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 13 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 4 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
DINING TABLE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
PIA PEMBENI KUNA NYUMBA YA VYUMBA VITATU
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
UKUBWA WA ENEO MITA 28 KWA 28
BEI MILIONI 120
Compare listings
Compare