Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 29,998,584
Description
Mbagala Saku
Nyumba ya vyumba vinne vya kulala inauzwa Mbagala Saku viwili ni master ina sebule kubwa,dining,store na parking ya kutosha umeme na maji vinapatikana nyumba haina hati mauziano serikali ya mtaa.