Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, 15113, Tanzania
TZS 45,000,000
Description
Nyumba inauzwa ipo mbande jilani na uwanja wa Azam wa mpira nyumba ya vyumba 3 vya kulala siting room dining room kitchen public toilet master bedroom umeme na maji vipo Nyumba Ina Hati yake ya serikali ya mtaa bei ml 45
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.OKPrivacy policy