Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 19,000,000
Description
Chamazi
Nyumba nzuri inauzwa ipo mbagala chamaz ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom Ina sitting room jiko na public toilet ina maji na umeme upo jilani kuingia ndani Nyumba ipo meter chache tu kutoka main road.