Mbagala, Temeke MC, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 65,000,000
Description
Mbagala Chamazi
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja master, daining room, sitting room, kitchen, public toilet umeme na maji vipo ukubwa wa kiwanja ni sqm 400 Nyumba haina Hati ina document ya mauziano ya serekali ya mtaa.