NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA BINAFSI
IPO MBAGALA ZAKIEM NYUMA YA DAR LIVE
Ina Vyumba Vitatu Kimoja self, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
nje Kuna mabanda vyumba 7, na nje Kuna fremu za maduka 2
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 700
Bei : 68 Million
SERVICE CHARGE ELF 30
TUPIGIE
Compare listings
Compare