Nyumba Mpya Ya Kisasa Inauzwa: Iko Mivumoni Dar es salaam karibu na Shule ya Atlas.
Nyumba Ina vyumba vi3 vyote ni Masta
Dinning sitting jiko stoo public toilet Bafu na study room
Full Makabati Jikoni na vyumbani
Full A/C vyumba vyote
Servant cotar zipo mbili
Chumba masta na jiko na chumba masta
Counter ya kisasa na Choo cha public
Electronic fensi, Garden na Maji dawasco
Pia nyumba Ina Barabara pande mbili na Mageti Mawili
Eneo ni la kutosha kufanya chochote unachotaka
Ukubwa-sqm 2,014
Umiliki- Hati
*BEI-Tshs 550ml Maongezi kidogo*
Location- Madale Mivumoni.
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho
Compare listings
Compare