Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 160 maongezi yapo 📍 Ipo MADALE FLAMINGO – Dar es salaam – Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki iko Hatua za mwisho kutoka.
◇ Maji Dawasco umeme vyote vipo
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Umbali mita 500 tu kutoka barabara kuu ya lami ya Madale road
Compare listings
Compare