Wekeza Kwa baadae boss nyumba inatupwa MADALE
Chukua nyumba Kwa million 25 Fanya matengenezo Kwa mil10~12 ingiza wapangaji Kwa mwezi laki 600k baada ya miaka 5 itakuwa umepata mil 36
Kumbuka kila kukicha nyumba zinapanda thamani after 5 year uza Bei unayotaka 80 100 120 then kanunue zingine 4
changamkia fursa usisubilie pension wewe🤭
3 bedroom (1masterbedroom)
Sitting Kitchen dining and public toilet
Sqm ~400
💰 25 mil (negotiable)
📍Madale Center
Compare listings
Compare