NYUMBA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MZINGA KITUNDA (ILALA MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu, Sebule, Valanda Na Choo Pia Kuna Vyumba Vya Kupangisha Sita (6)
Umiliki: Leseni Ya Makazi (Residential Licence)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 300
Umbali: Meter 300 Kutoka Barabara kuu
Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa/ Afara Dispensary Mzinga
Bei : 12 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=
Hii Nyumba Mnada Wake Tarehe 25/1/2023
Siku Alihamisi Asubuh Kuanzia Saa Mbil☝️☝️☝️
Compare listings
Compare