NYumba inauzwa BAGAMOYO KITOPENI
Umbali kutoka barabara kuu ya DAR ni nusu kilometa NYUMBA ina vyumba 4 viwili vyoo vko ndani yaani master rooms
Seating room kubwa
Dining room ya kutosha
Stoo na jiko zuri
Uzio mkubwa wa eneo la SQM 500
Hati
YA KITONGOJI
BEI 60 milioni
No 0787417617/0678766244
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.OKPrivacy policy