JUMBA ZURI LA KIFAHARI NA LA KSASA LINAUZWA
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE
NYUMBA INA VYUMBA VITANO
CHINI INA VYUMBA VITATU SEBULE KUBWA SANA DINING NA JIKO LA KISASA
JUU KUNA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA SANA DINING NA JIKO LA KISASA
NJEE KUNA BOY KOTA YA VYUMBA VIWILI MASTER
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE MITA 600
UMILIKI NI HATI YA WIZARA TITLE DEED
BEI NI MILIONI MIA SITA
600.000.000 MIL
UMBALI WA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI KOROGWE NI KILOMITA 2 MPAKA KWENYE NYUMBA
USAFIRI UPO WA KUTOSHA UKITOKEA KOROGWE BAJAJI 500 PIKI PIKI 1000
GARAMA ZA KUPELEKWA KUKAGUA SITE NI TSH 30.000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU 0677689228
Compare listings
Compare