Nyumba kubwa inauzwa kibaha Visiga kwa kipofu mkoani Pwani
meter chache kutoka barabarani
inasifa zifuatazo
Ukubwa wa eneo ni sqm 640, 20 kwa 32
Nyumba Inavyumba vitatu kimoja master sebure dinning jiko store public toilet
ila kwandani haijawekwa singbord
Umeme na maji yapo masaa 24
Umiliki hati ya serikali ya mtaa
Bei mil 38 maongezi yapo njoo ujionee mwenyewe ukiridhika ufanye maamuzi sasa ununue mjengo maisha ni nyumba
Service charge elfu 30
Piga namba
0784139933
0713657157
Compare listings
Compare