NYUMBA IPO KIBAHA MAILI MOJA, KULIA KAMA UNAENDA MOROGORO
===BEI MIL. 44 MAONGEZI YAPO===
Ukubwa wa ENEO SQM 500
===Nyumba ina Vyumba 3 kimojawapo master bedroom sebule jiko dinning na public toilet pia kuna Frame 1 ya biashara
Nyumba ipo ndani ya fence parking IPO pia Kwa nyuma kuna ENEO unaweza ukalima au hata KUFUGIA
====Umbali ni KM 2.5 Barabara ipo vizuri mpaka nyumbani
===Sales agreement kutoka serikal za mitaa
====Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=====
Compare listings
Compare