*NYUMBA INAUZWA 38 MIL*
Nyumba ipo kibaha mwenda pole
Ina vyumba vitatu
Kimoja ni masta
Ina public toilet
Ina sebule kubwa
Ina dinning, jiko na stoo
Inatizama morogoro road ya zamani
Ukubwa wa kiwanja 35×35
Karibu sanaaaaa
@Bs_real_estate_and_consultancy🇹🇿🇹🇿
Bs real Estate and consultancy company