NYUMBA INAUZWA GOBA

 • TZS 110,000,000
Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Sale
NYUMBA INAUZWA GOBA
Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • TZS 110,000,000

Description

NYUMBA INAUZWA BINAFSI

BEI : milioni 110 maongezi yapo

Ipo Goba road Kituo kwa ROBERT – Dar es salaam – Tanzania

▫Vyumba Vitatu vya Kulala kimoja self
▫Sitting room
▫Dinning room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 400

Umiliki : document Sales agreement (mkataba wa mauziano ya selikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua

◇ Maji safi dawasco umeme vyote vipo kwenye nyumba
◇Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana

TUPIGIE

 • Address Goba, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
 • City DAR ES SALAAM

Details

Updated on April 16, 2024 at 3:20 pm
 • Property ID: BFR-217259
 • Price: TZS 110,000,000
 • Property Size: 400 Sq Mt
 • Bedrooms: 3
 • Bathroom: 1
 • Property Type: House
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
ELIBARICK REAL ESTATE
 • ELIBARICK REAL ESTATE