Goba, Ubungo Municipal, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 70,000,000
Description
Nyumba inauzwa nyumba ipo Goba Mpakani nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public stoo eneo sqm 600 nyumba ipo center ya goba mpaka scondary zinapoishia daladala Bei mil 70 maongezi yapo