For Sale
Goba, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 250,000,000
Description
Nyumba ina uzwa ipo Goba njia 4 kama una elekea madale kutoka lami mita 200 tuu nyumba ina vyumba vitatu kiwanja ukubwa 1400sqmt ina hati miliki ina uzwa milioni 250 maongezi yapo