Nyumba inavyumba vinne (4), vyumba vyote ni master bedrooms, Pia nyumba ina sitting room, public toilet, kitchen, store, study room.
maji, umeme ni uhakika pamoja na parking kubwa.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 5500 na kina hati miliki ya wizara
Nyumba inapatikana:-
-kilometer 13 kutoka Ferry
-kilometer 10 kutoka Darajani
-Kilometer 1 kutoka lami