Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 60 maongezi yapo 📍 IPO *BAGAMOYO MJINI* (KITOPENI STREET) – Dar es salaam – Tanzania
▫Ina Vyumba Vitatu vya Kulala
◇Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
◇ Nyumba ina servant cotta
◇ Nyumba ina mpangaji Kodi ni laki 370 kwa mwezi (Nyumba kubwa laki 250 servant cotta laki 120) Jumla ni Tsh 370 kwa mwezi.
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500
◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇maji safi dawasco umeme vyote vipo ndani ya Nyumba
◇Umbali 150 tu kutoka Bara ya ya lami ya Bagamoyo two Dar es salaam au Stendi
◇Noted: Ukishuka kwenye Gari unatembea tu kwa mguu kwenda Nyumbani.
Compare listings
Compare