NYUMBA TATU NDANI YA ENEO MOJA (MILLION 29) MBAGALA CHARAMBE ZOMBOZO KWA MZUNGU.
Kwa Ujumla Nyumba Zote Zina Vyumba Tisa Pamoja Na Master
Umiliki: Leseni Ya Makazi (Residential Licence)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 450
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Barabara Kuu (Darlive)
Mahali: Kwa Mzungu Maduka Nane Jilan Na Ofisi Za Serikali Ya Mtaa
Bei : 29 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Compare listings
Compare