Nyumba ya vyumba 3 masta sebule jiko na nje kuna chumba masta na kunauwanja mkubwa Sqm Mia 800 kwa nje upange wa nyumba kuna sqm ingine mia sita mi pakubwa ipo njia ya mwaloni kama unaenda wazo Milion 70 mwisho 65👌sasa kashusha bei Million 45 cash. Kawasusiya nyumba na kiwanja kwa bei million 45
Compare listings
Compare