Mbezi Beach, Kawe, Dar es Salaam, Coastal Zone, Tanzania
TZS 2,000,000
Description
Mtaa wa Almas
Nyumba mpya ya kisasa inapangishwa mbezi beach mtaa wa Almas ina vyumba vitano,sebule,jiko na bustani ya kuvutia nyumba ina eneo kubwa na usalama wa kutosha.