A
#VYUMBA_VITATU
INAPANGISHWA APARTMENT
MKOA -DAR-ES-SALAAM-Tz
WILAYA – KINONDONI
MAHALI – BUNJU BEACH MOGA
_______________
KODI – LAKI 600,000
MALIPO YA MIEZI 6
____________
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE
________
VYUMBA vikubwa vyote master
Sebule kubwa
Jiko lenye kabati
dinning
Choo public
Luku yako
Maji yako
_____
BILA KUSAHAU NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA @Dalalimbezibeacht
__
GHARAMA YA KUONA NYUMBA ELFU 20000 ( SERVICE CHARGE )