MAFREM 7 NYUMBA 3 NDANI YA KIWANJA KIMOJA ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA
MAHARI YARIPO KIMARA MWISHO KM 1 TOKA MORO ROAD
NYUMBA ZINA VYUMBA 17 CHUMBA NA SEBULE ZIPO 5 NA SABA 7 CHUMBA KIMOJA KIMOJA
PIA IPO GEREJI INAYORAZA PIKIPIKI 30 KAMA UIYONAYO YENYE GETI JEUSI
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
HII NI SEHEMU KUBWA YA KUKUREA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKO
KODI CHUMBA KIMOJA ELFU 50
NA CHUMBA NA SEBULE LAKI MOJA
BEI MIL 150 MAONGEZI YAPO
MAJI UMEME VIPO
ENEO SQM 700 NI CORNER PLOT KIWANJA
KARIBU SANA MTEJA
Compare listings
Compare