KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI
Ni tambarare yaan mkeka kama unavyoona boss
Ndani yake Kuna pagale la room 2 moja self, Dinning, sitting, jiko na public toilet
Eneo- sqm 1100
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 33 maongezi
Location- madale mbopo Dar es salaam Tanzania
Umbali-km 4 kutoka main road madale mwisho
Na mita 700 kutoka barabara kubwa ya mbopo mnadani
Service charge elf 30
Karibuni
Tupigie
@everyone
Compare listings
Compare