KIWANJA KINAUZWA BINAFSI
KIPO UBUNGO MAWASILIANO NJIA PANDA CHUO-DAR ES SALAAM- TANZANIA
BEI: 450MIL
UKUBWA WA ENEO: 2000 SQM, PAMEPIMWA HATI ITATOKA KWA JINA LA MTEJA
UMEME NA MAJI VIPO
HAPA PANAFAA SANA HOSTEL HASA UKIZINGATIA UWEPO WA CHUO KIKUU UDSM, CHUO CHA SHERIA, NIT, NA VYUO VINGINE VINGI VILIVYOPO MAENEO JIRANI KAMA MWENGE NK,
PANAFAA PIA APARTMENTS UKIZINGATIA MAHITAJI HAYO KWA SINZA, UWEPO WA SOKO LA KIMATAIFA UBUNGO, NK
NI MITA 200 KUTOKA SAM NUJOΜΑ ROAD
Karibuni
Compare listings
Compare