Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo Mbezi Msakuzi barabara ya Mpiji Magoe kiwanja kipo umbali wa mita 300 toka barabara inayotakiwa kupigwa lami ya Mpiji Magoe kutokea Bunju kiwanja kina ukubwa wa sqmt 800 na Kuna Banda la vyumba viwili pamepimwa na biconi zipo bei mil 25 maongezi yapo mtaa mkali Sana mazingila ni rafiki