Kiwanja kinauzwa kigamboni (mikadi beach).
Kiwanja kimegusa lami, ni kizuri kwajili ya biashara au makazi.
– sheli
– Frame za biashara
– car wash
– Restaurant
– ukumbi
– showroom (magari n.k)
– Bar
– Apartment
– N.k.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 4,117
Kina hati miliki.
Mtaa mzuri sana,.
Bei; BILLION 1.2
Compare listings
Compare