Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo mbezi center
Kiwanja kipo km 1 kutoka moro road
Kiwanja kipo mtaa mzuli sana mtaa wenye magholofa mtaa tulivu sana wenye manzali nzuli sana
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1500
Bei mil 150
Tittle deed mkononi
Kiwanja kinafaa kwa lodge hotel makazi tulivu
Ukitoka moro road ukishuka kwenye mwendo Kasi unatembea tu kwa mguu
Kiwanja kipo unatembea na lami mpaka hapo kwenye kiwanja
Njoo uchukuwe ujenge lodge wasafili wa mkoani walale hapo kipo karibu sana na stendi ya maghufuli
Karibu
0784139933
0784139933
Compare listings
Compare