Dar es Salaam ni MSASANI tu.
HII NI MSASANI ILIYOUMANA NA MIKOCHENI KWA KUTENGANISHWA NA BARABARA YA LAMI IPITAYO KWA MWALIMU NYERERE TO KAWE
Nyumba ya ghorofa moja ya 5bedrooms ipo ktk eneo lenye ukubwa wa square meters 700 imeporomoka tena bei kutoka Tshs 1,500,000,000/-❌
Mmiliki ana shida ya pesa ya haraka kanituma niuze Tshs 950,000,000/-✅
Negotiations ipo kasema haachi hela✅
Nyumba ipo meters 40 kutoka barabara ipitayo Mikicheni kwa mwalimu Nyerere
Nyumba ina master iliyogawanyika sehemu tatu, yaani kuna choo chenye sehemu mbili za kuogea na chumba cha sehemu ya makabati ya kisasa ya nguo na chumba Cha kulala balcony nzuri
Ktk hii nyumba, kuna kitchen, sitting room, dining room, store, garden na parking yenye hadhi ya kibalozi
Mitaa yake imezungukwa na maghorofa mazuri mazuri na pamekaa kishua Sana na ni meters 40 tu unaingia ndani kutoka kwenye lami kuu iendayo shopers na Kawe.