*Industrial Plot EKARI 1.3 Ndani ya fensi Inauzwa📍Ipo Kibaha-Maili moja TAMCO*
*Distance* Mita 250 kutoka Morogoro road lipo upande wa kulia ukitokea mjini
-Umeme mkubwa Bomba la maji kubwa kwa ajili ya viwanda vyote vipo.
-Pia unaweza kufanya yard kwajili ya kupaki malory au mabasi vile upendavyo wewe kwa matumizi yako wakati uliopo
-Document: Clean TITTLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
*Bei shilingi milioni 550 maongezi yapo*
◇MAONGEZI YA KULIPA KWA AWAMU YAPO PIA
Compare listings
Compare