NYUMBA NZURI INA ENEO KUBWA SANA INAUZWA NA BANK
IPO MAPINGA PWANI, MITA 300 TU KUTOKA BARABARA KUU
INA ROOM TATU ZA KULALA 1 NI MASTER, SEBULE, DINNING, JIKO, NA CHOO, NJE KUNA ROOM MBILI ZINGINE…
BEI MIL 95
UKUBWA ENEO SQM 4900
UMILIKI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
SITE VISIT FEE 30K
Compare listings
Compare