Nyumba Zinauzwa zote Tatu Zipo njia ya madale Tegeta A kwa bedui Zipo3 kwenye compound Kila mmoja Ina vyumba 2 vya kulala kiwanja kina ukubwa wa sqm 1200 nyumba ni mpya pia panapitika wakati wote ukija na milioni 300 mnaweza kuelewana service charge tsh 30000 nje ya commission tutakayokubaliana