GOROFA nzuri ya Kisasa UNFINISHED Inauzwa milioni 350 maongezi yapo IPO MBEZI JUU (MASANA STREET) – Dar es salaam – Tanzania
▫Ina Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni Master
kila chumba kina Balcony yake
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 816
document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
maji safi dawasco umeme vyote vipo karibu na Gorofa hii
Gorofa hii ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema snaa
Umbali mita 300 tu kutoka barabara kuu ya lami ya Masana to Goba road
Compare listings
Compare