HOUSE FOR RENT AT MBEZI MWISHO.

  • TZS 600,000/6
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
HOUSE FOR RENT AT MBEZI MWISHO.
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 600,000/6

Description

NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI BEI NI SHILINGI 600,000/=

 

🌟 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO

 

#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA

#JIKO KUBWA LA KISASA

#PUBILC TOILET

#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE

#AIR-CONDITION

#PARKING KUBWA

#GARDEN

#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME

#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24

 

BEI NI 600,000/= X 6

 

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

 

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

  • Address Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Mbezi

Details

Updated on April 15, 2025 at 10:30 pm
  • Property ID: BFR-505660
  • Price: TZS 600,000/6
  • Bedrooms: 3
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi