HOUSE FOR RENT AT MBEZI MWISHO

  • TZS 500,000
Mbezi mwisho magufuli
For Rent
HOUSE FOR RENT AT MBEZI MWISHO
Mbezi mwisho magufuli
  • TZS 500,000

Description

INAPANGISHWA STAND ALONE 500,000/=× 6

 

NI HATARI SANAA HII NYUMBA 😂 🙌 🤸

MPYA KABISA

 

 

——————————

📌Mahali #MBEZI MWISHO – MAGUFULI TERMINAL (Dsm) 🇹🇿

DAKIKA 7-8 KWA MIGUU

 

Sehemu nzuri sana

_______________________________________

MUUNDO

 

✔️Vyumba 04 _ Master 01

✔️Sebule Nzuri Kubwa

✔️Jiko ndani

✔️Dinning

✔️ Public toilet safi ndani

✔️ Parking Nzuri

✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa

✔️Maji ndani

✔️ Reserve Tank

_______________________________________

 

HUDUMA (UNAJITEGEMEA)

 

✔️Maji Mita Yako

✔️Umeme #LUKU YAKO

 

📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA

 

 

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

KODI;

500,000\/= TZS. Kwa mwezi

Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa dalali

 

,‼️Pesa ya Tahadhari 500,000 izingatiwe

_________________________________________

Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000

______________________

 

Kuna tai mbele hakwepeki

  • Address Mbezi mwisho magufuli
  • City Dar Es Salaam

Details

Updated on February 11, 2025 at 5:10 am
  • Property ID: BFR-435995
  • Price: TZS 500,000
  • Bedrooms: 3
  • Bathrooms: 3
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings
LOKAMACHEKI REALESTATE

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
LOKAMACHEKI REALESTATE
  • LOKAMACHEKI REALESTATE