HOUSE FOR RENT AT MBEZI KWA MSUGURI.

  • TZS 500,000/6
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
For Rent
HOUSE FOR RENT AT MBEZI KWA MSUGURI.
Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • TZS 500,000/6

Description

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

 

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

 

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM

#SEBULE KUBWA

#JIKO KUBWA

#PUBLIC TOILET

#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#PARKING KUBWA

#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

 

BEI NI 500,000/= X 6

 

πŸ’«πŸ’« APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE

 

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

  • Address Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Mbezi

Details

Updated on December 3, 2024 at 9:36 pm
  • Property ID: BFR-391394
  • Price: TZS 500,000/6
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi