VYUMBA VYA KULALA VINNE
INAPANGISHWA STAND ALONE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MADALE
————————————————
PAMOJA NA SERVANTKOTA
KODI TSHS MILIONI 1,500,000/=KWA MWEZI
———-
MALIPO YA MIEZI 6
——
IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala vyote ni Master
#Sebule kubwa#Dinning Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani full Ac
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #pavingblocks
FencedHouse
Garden
_______________
@dalalimbezibeach_humphrey
#0713664151
#0686913424