HOUSE FOR RENT AT KIMARA SUKA.

  • TZS 350,000/6
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 21493, Tanzania
For Rent
HOUSE FOR RENT AT KIMARA SUKA.
Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 21493, Tanzania
  • TZS 350,000/6

Description

𝙉𝙮𝙪𝙢𝙗𝙖 𝙆𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 YENYE ENEO KUBWA SANA… 𝙎𝙩𝙖𝙣𝙙_𝘼𝙡𝙤𝙣𝙚

 

𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA Golani, Ni karibu sana na kinyerezi mwisho, hivyo unaweza kungilia kinyerezi pikipiki 1000, au kuingilia suka pikipiki 2000

 

𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚

============

• Sebule kubwa

• Dinning

• Vyumba 3 vya Kulala na kimoja wapo Master

• Jiko Kubwa sana na stoo ipo

 

Nyumba INAJITEGEMEA Yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo na UMEME LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani. PIA KUNA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA UKAFUGA HATA MBUZI NA KUKU.

 

𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350k

 

𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤

Survey Charge ni 30,000/-

Malipo ya dalali ni 350,000/-

 

  1. MAAFUNDI WAPO SITE WANA PAKA RANGI.

  • Address Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 21493, Tanzania
  • City Dar Es Salaam
  • Area Kimara

Details

Updated on January 13, 2025 at 4:27 pm
  • Property ID: BFR-408471
  • Price: TZS 350,000/6
  • Property Type: House
  • Property Status: For Rent

Contact Information

View Listings

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Khadija Msangi
  • Khadija Msangi