π―οΈlipia Kodi hata mwezi mmoja
π Chumba chenye vitu ndani kinapangishwa KIMARA KOROGWE, 190,000/= Γ1 (Ofa π₯)
__________________________
π Kitanda na Godoro unavikuta
π Kiti na meza unavikuta
#Njoo na begi lako na shuka
β’ Chumba master Kizuri
* Umeme BURE
* Maji BURE
* Usafi Wa mazingira BURE
* Slide window
* Mazingira Tulivu sana.
#Umbali wa dakika 8-12 tu Kwa miguu
NB: Kinamfaa mtu Bachelor (Haimfai mtu mwenye vitu vyake)
__________
π *MUHIMU*
#Malipo ya Dalali Nasson ni 100,000/= (OFA π₯)
#Kwenda kuona 15,000
Compare listings
Compare