ISHI KWA MALENGO NDUGU MTEJA WANGU NYUMBA HII BEI NI MSELEREKO BEI NI 200,000/= X 6
π NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA
KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA PUBLIC NA BAFU LAKE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#RESERVE TANK KUBWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE KUBWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Compare listings
Compare