HOTEL INAUZWA BAGAMOYO

 • TZS 450,000,000
Bagamoyo, Pwani, Coastal Zone, 66, Tanzania
For Sale
Bagamoyo, Pwani, Coastal Zone, 66, Tanzania
 • TZS 450,000,000

Description

Bagamoyo Mjini

Tumepewa jukum na bank kuuza hotel hii ya kisasa…..inauzwa kwa mnada na leo tumeshauza wateja hawakuweza fikia bei ya bank yaani force price…..sasa nakuletea mkuu uione ukiwa na mda uje uitembelee utoe offer….katika soko bei ni si chini ya 800/had 1bn lakini sisi tunauza kwa forced sale ya 450M tu…ziko 14 rooms zote self contained, bar na ukumbi wa mikutano midogo restaurant ya kisasa…location BAGAMOYO MJINI..ina eneo la eka moja na ipo eneo la biashara hasa utalii na wanaopenda kupumzika maeneo hayo……hati yake tunayo sisi….naomba uje tuongee

 • Address Bagamoyo Mjini
 • City Bagamoyo
 • State/county Tanzania
 • Area Bagamoyo

Details

Updated on November 9, 2021 at 5:52 pm
 • Property ID: BFR-42581
 • Price: TZS 450,000,000
 • Bedrooms: 14
 • Bathrooms: 20
 • Property Type: Commercial
 • Property Status: For Sale

Contact Information

View Listings
BE FORWARD Real Estate Tanzania

Enquire About This Property

Compare listings

Compare
BE FORWARD Real Estate Tanzania
 • BE FORWARD Real Estate Tanzania