Hostel ZINAPANGISHWA golani karibu na chuo.
Njoo ukae sehemu nzuri na uweze kusoma vizuri. Free maji,free umeme, ulinzi BUREEEEEEE. SINGLE room zina vitanda viwili vya double decker na magodoro PAMOJA na meza ya kusomea. Vyoo na mabafu ya kutosha. Laundry. Masterbedroom yenye kitanda na godoro. Kodi,
SINGLE room 100k kwa kichwa na masterbedroom ni 260k. MALIPO ni Per semester. Usafi ni wa chumbani kwako/kwenu tuu. Usafi wa nje na maliwato haukuhusu.
WiFi ipo kwa MALIPO ya 10k kwa mwezi na bila kusahau canteen maana hawarusu kupika. Unataka nn tena! Piga simu sasa au njoo Inbox 
==… 0735684000…===….0673070379
Compare listings
Compare