*NYUMBA (GOROFA MOJA) INAUZWA-BEI YA KUTUPA. NI KILOMITA 6 TOKA ARUSHA MJINI, PIA NI KILOMITA 3 KUTOKA LAMI, SILENT INN SAKINA.
NYUMBA IKIPO/LOCATION: MTAA WA TARAKWA, ENEO LA SAKINA, JIRANI NA FREEDOM LODLE/AFRICA SAFARIS AU JIRANI NA MZUNGU THOM AU KARIBU NA MINARA YA PAPA KING.
UKUBWA/AREA:SQM 600
BEI/PRICE : MIL 180(Bei ya Punguzo)
UMILIKI : MKATABA WA MAUZIANO WA KISHERIA.
_______________
SIFA:
-INA VYUMBA 5 VYA KULALA (CHINI KUNA SEBURE KUBWA, PUBLIC TOILET, VYUMBA VIWILI VYANKULALA KIMOJA NI MASTER, DINNING, JIKO, STORE, NA GOROFANI VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER, NA PUBLIC TOILET)
HUDUMA ZOTE ZIPO; MAJI NA UMEME.
PIA LIPO TAKE LA KUHIFADHI MAJI LITA 5000
_______________
Compare listings
Compare