GOROFA LINAUZWA 🇹🇿 KIGAMBONI GEZA ULOLE 🇹🇿 BEI MILIONI 850
Gorofa Limejengwa katika Mfumo wa Kupangisha.
Chini Upande wa Kulia. Kuna Vyumba Vitatu, Master 2, Sebule, Jiko na Publictoilet
Chini Upande wa Kushoto. Kuna Vyumba Viwili, Master 1, Sebule, Jiko na Publictoilet.
Gorofa ya Kwanza Kuna Vyumba Vitatu vyote master, Sebule, Dinning, Jiko, Stor na Publictoilet.
Gorofa ya Pili kuna Vyumba Viwili, Master 1, Sebule, Jiko na Publictoilet.
DOCUMENT 📃 HATI YA WIZARA
Compare listings
Compare