GHOROFA MBILI SEHEMU MOJA ZINAUZWA TSHS BILIONI 1.35( BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TATU HAMSINI.
GHOROFA HIZI ZIKO MBEZI BEACH MAKONDE UPANDE WA JUU KAMA UNAENDA TEGETA.
ENEO LIMEPIMWA LINA UKUBWA WA SQM 1050 NA LINA HATIMILIKI YA WIZARA YA ARDHI TANZANIA.🇹🇿
GHOROFA LA KWANZA LINA VYUMBA VINNE (4) VYOTE MASTER, SITTING ROOD DINING, PLUBIC TOILET
GHOROFA LA PILI, NA LENYEWE NI HIVYO HIVYO.
PIA KUNA SERVANT QUARTER MOJA NA YENYEWE NI MASTER
KUTOKA MAIN ROAD NI MITA 150.
BEI NI TSHS BILIONI 1.35 MAONGEZI KIDOGO.
Compare listings
Compare