Nyumba ya gholafa moja inauzwa gholofa ipo mkoa wa Arusha maeneo ya Njiro Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 620 gholofa ipo miter 100 toka barabara ya lami Bei mil 170 maongezi yapo gholofa Ina vyumba 6 vyote ni master gholofa Ina sebule mbili Yani juu na chini ipo jiko publc stoo na garden nzuri ina hati miliki mkononi karibuni sanaa