Fully furnished Gorofa inauzwa Kigamboni-Gezaulole
Distance Umbali ni 1KM kutoka lami
-Nyumba ina vyumba 4 vya kulala, master bedrooms 2, dinning room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Fully Air Condition
-Plot size Sqm 1200
-Hati ipo (Title deed)
Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo