Nyumba inauzwa ipo mbagala saku ilulu jilani na shule ya msingi ya ilulu ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room na daining room na jiko na store ina public toilet pamoja na maji na umeme eneo square meter 200 ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa.